Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

MASHABI WA SIMBA WAANZA KUCHONGA.



 
Mashabiki wa klabu ya soka ya Simba wametoa maoni yao mbalimbali kuhusu mwenendo wa klabu yao kwa hivi sasa baada ya klabu hiyo kuonyesha makali katika ligi kuu soka Tanzania bara kwa michezo mitano mfululizo.


Wadau hao wamesema mwenendo wa klabu yao hivi sasa unaridhisha baada ya uongozi wa klabu hiyo kumtimua aliyekuwa kocha mkuu wa klabu hiyo Dlyan Kerr na kumuachia kocha msaidizi Jakson Mayanja.

Klabu ya soka ya Simaba February 7 mwaka huu inashuka dimbani kukipiga na klabu ya soka ya Kagera Suger katika mchezo wa Ligi kuu soka Tanzania bara.

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget