
Msanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya nchini Mikael Denis maarufa John Walker amefariki dunia asubuhi ya leo jijini Dar es Salaam.
Taariafa za awali kutoka kwa ndugu wa John Walker zimesema
msanii huyo amefariki dunia baada ya kuripukiwa na mtungi wa gesi wakati
akiutengeneza.
Msanii huyo kutoka katika kundi la muziki la Watukutu
alikuwa maarufu kutokana na kuimba mistari yenye ujumbe lakini kwa sauti ya
mlevi.
Post a Comment