
Msambuliaji wa klabu ya soka ya Manchester United Wayne
Rooney amesema paoja na mashanbi engi dunia kumlaumu sana kocha wake Luis Van Gaal
lakini kwa upand eawake yeye hawezi kumlaumu kocha huyo kwa klabu hiyo kuwa na
matokeo mabovu katika meichezo kadaa.
Rooney amesema kwamba kocha wao amepokea lawama
nyingi sana msimu huu kuliko wachezaji ambao ndio wapo dimbani kwa kila mechi
lakini haoni ni vyema sana kumlaumu yeye pasipo kuwalaumu na wao wachezaji.
Klabu ya Man United wiki iliyopita ilipokea kichapo kizito
cha mabao 2-1kutoka kwa klabu ya Sunderland na kuwaifanya klabu hiyo kuendelea
kuboronga katika msimamo wa ligi kuu.
Rooney amesema kocha wao huyo amepokea lawama nyingi
sana zaidi ya wachezaji na wachezaji wapo uwanjani wana nafasi kubwa ya kucheza
na kutafuta nafasi za kufunga magoli lakini hawajafanya hivyo msimu huu.
Post a Comment