
Imeripotiwa kuwa Mshambuliaji wa klabu ya soka ya
Bayern Munich Robert Lewandowski amesema anahitaji mshahara wa €18 million kwa
wiki ili aendelee kubaki katika klabu hiyo ya Bayern Munich.
Mchezaji huyo ambaye ni raia wa nchini Poland anahusishwa
na kuihama klabu hiyo na kutua Real Madrid iwapo klabu yake itashindwa kumudu
kiwango hicho cha fedha.
Lewandowski ambaye anapokea mshahara wa €10m kwa miezi
12 months katika klabu yake na mkataba wake unaisha mwaka 2019.
Post a Comment