Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

MAN UNITED BADO INAPIGA DANA DANA SUALA LA KOCHA MOURINHO KUTUA KLABU HAPO.



 

KLABU ya soka ya Manchester United imekataa kuzungumzia  lolote juu ya kufanya mazungumzo na mawakala wa aliyekuwa kocha wa Chelsea Jose Mourinho.


Kulikuwa na taarifa kuw klabu hiyo imeshafanya mzungumzo na kocha huyo kuchukua nafasi ya kocha wa sasa Lous Van Gaal, ambaye anatarajiwa kuondoka baadaye mwakani.

Maafisa wa juu wa Man United wanatarajiwa kutoa jibu lao baada ya majirani zao Manchester City kuchukua huduma za Pep Guradiola,mapema wiki hii.

Na kama Mourinho ataifundisha Man U basi wazi kabisa kutakuwa na upinzani mkali kati ya City na United kufuatia ule uliokuwepo kati ya Real Madrid na Barcelona wakati makocha hao walipokuwa katika timu hizo mbili.

United ambao wakombele dhidi yay a Chelsea ambap klabu hizi zinatarajiwa kuvaana siku ya jumapili.

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget