Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

KUMBE ISCO ALITAKIWA KUTUA ARSENAL, LAIKIA ZIZU KAMBANIA.



RUMOURS: Zidane blocked Isco move to Arsenal 
Imeripotiwa kuwa meneja wa klabu ya soka ya Real Madrid Zinedine Zidane alizuia uhamisho wa kiungo wake Isco kwenda katika klabu ya Arsenal katika dirisha la usajili la January.


Hii imetokana na kuwa klabu ya soka ya Real Madrid ilikuwa haina muda wa kupata mmbadala wa kiungo mwingine atakaeziba nafasi yake.

Pamoja na kiungo kuyo kuhusishwa na kuhamia Arsenal lakini pia alihusisha na kuhamia katika klabu ya Manchester City kutokana na kukosa namba katika kikosi cha kwanza katika dimba la Santiago Bernabeu.

Lakini Zidane alikuwa hayupo tayari kumuachia kiungo huyo kutua katika viunga vya Emirates Stadium.

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget