
Klabu ya soka ya Manchester United usiku
wa kuamkia leo imeendelea kuwa na rekodi mbovu baada ya kutandika bila uruma
mabao 2-1 dhidi ya klabu ya soka ya FC Midtjylland ya nchini Denmark katika Kombe
la Europa Cup.
Kalabu ya Man United jana ilikuwa
ugenini na ilikuwa inaonyesha kandanda safi na kuonekana ingeweza kutoka na
pointi 3 muhimu lakini waliambulia kipigo hicho kinachoendelea kumuweka kocha
wao Loius Van Gaal kuti kavu.

Mshambuliaji wao Memphis Depay ndiye
aliye isaidia kuifuta machozi klabu yake baada ya kufunga bao moja na kuifanya
klabu kubwa hiyo kupokea zawadi ya kipigo kutoka kwa timu ambayo ilikuwa
haipewi nafasi ya kushinda.
Post a Comment