Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

MASLI YAMDONDOSHA MNYAMA TEMBO IVORY COAST.



 
TIMU ya Mali imekata tikiti ya kushiriki fainali ya mchuano wa kuwania ubingwa wa Afrika CHAN baada ya kuilaza Ivory Coast 1-0 katika nusu fainali ya pili iliyochezwa katika uwanja wa taifa wa Rwanda.


Mali ambayo ilikuwa imefuzu kwa nusu fainali yake ya kwanza ya CHAN ilipata bao la ushindi zikiwa zimesalia dakika mbili tu mechi hiyo imalizike.
Bao hilo lilitiwa kimiani na yves bissouma kunako dakika ya 88'ya kipindi cha pili cha mchezo.

Bissouma alipata bao hilo kupitia pasi safi kutoka kwa Sinayoko naye hakusita alipiga chenga moja na kumbwaga kipa wa The Elephants Badra .
.

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget