Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

MSIKIE HAZARD ALICHOKISEMA KUHUSU KOCHA ZINEDINE.



 
Kiungo wa klabu ya soka ya Chelsea Eden Hazard amesema anafuraha kuwepo katika klabu yake hiyo lakini angepata nafasi anavutiwa zaidi kucheza chini ya kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane.


November mwaka jana Zidane alimtaka mchezaji huyo huku akimfananisha na wachezaji Cristiano Ronaldo na Lionel Messi kwa ubora wao.

Hazard amesema anamkubali sana Zidane kutokana na kumtambua vyema kocha huyo si kwa kuwa kocha tu bali kupata mafani kio makubwa katika viunga vya Bernabeu.

Akihojiwa Hazard amesema anatamani sana kuwa chini yake lakini bado anamkataba na klabu yake ya Chelsea na anajisikia vizuri kubaki klabuni hapo.

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget