
Manuel Pellegrini ni kocha mzuri sana na alikuwa anapendwa
na mashabiki lakini kwa siku ya leo ameonyesha kuwa timu yake sio nzuri na
inahitaji mabadiriko.
Klabu ya soka ya Man city leo hii imepokea kipigo
kizitto kutoka kwa vinara wa ligi hiyo Liecister City cha mabao 3-1 kitu ambacho
kinaonyesha dhari kuwa imu hiyo imemshinda hivi sasa.

Pellegrini ataondoka Etihad Stadium katika kipindi
hiki baada ya klabu hiyo kumchuku kocha wa klabu ya Bayern munich kuifundisha
timu hiyo.
Pellegrini ameshinda taji la ligi kuu soka nchini
Uingereza na kombe la ligi katika msimu wa kwanza lakini kiwango
alichokionyesha leo kwa timu yake dhidi ya Leicester City ni wazi kwamba
amekalia kuti kavu.
Post a Comment