Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

PETER CECH ANATARAJIWA KUWA NAHODHA MPYA WA ARSENAL.



 
KOCHA mkuu wa klabu ya soka ya Arsenal Arsene Wenger ameanza kuangalia mbadala wa Nahodha mpya ndani ya kikosi chake baada ya Nahodha wake wa sasa Mikel Arteta kuwa na uwezekano wa kutimka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu.


Mzee Wenger ameanza kumuangalia mlinda mlango wake Petr Cech kuwa Nahodha mpya ndani ya klabu ya soka ya Arsenal.

Wakati kiungo wa Arsenal Mikel Arteta akionekana kutaka kuondoka Emirates Stadium mwezi June mwaka huu , Mzee Arsene Wenger anaangalie mtu wa kuchukua nafasi yake klabu hapo. 

Paoja na hayo lakini mlinda mlango namba moja nadani ya klabu hiyo  Cech, anaonekana ana nafasi kubwa ya kuchukua nafasi hiyo kutokana na kuonekana kuweza kuimudu nafasi hiyo.

Cech's anaonekana anafasi hiyo kubwa kutokana na kuwa na uwezo wa kuzungumza Lugha 5 kwa wakati mmoja na kuwa na maamuzi mzuri katika kikosi hicho tangu ajiunge nacho akitokea Chelsea.

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget