
Kuna taarifa kuwa klabu ya soka ya West
Ham ipo mbioni kumnasa beki nguli na Nahodha wa klabu ya soka ya Chelsea John
Terry katika klabu yake katika majira ya kiangazi.
Klabu ya West Ham inataka kuchukua
kumpa mkataba mchezaji huyo baada ya kuona klabu yake kushindwa kumuongezea
mkataba mpya mchezaji huyo katika kipindi kingine ndani ya klabu hiyo.
Pamoja na klabu hiyo kutaka kumchukua
mchezaji huyo ndani ya klabu hiyo lakini inataka kumchukua mchezaji huyo ikiwa
na lengo la kuona kuwa mchezaji huyo Terry kuwa na uzoefu katika Michuano ya
ligi ya mabingwa barani Ulaya.
Post a Comment