Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

CHEKA AHESABU SIKU KUZIPIGA NA BONDIA MSERBIA.



 

Oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO imesema kuwa inaimani na bondia Francis Cheka kuelekea katika pambano lake la kuwania ubingwa wa dunia dhidi ya bondia Mserbia Ajetovic.


Akizungumza na kilowoko.blogspot.com Rais wa TPBO Yassin Abdallah amesema pambano hilo linalosubiriwa na wapenzi wengi wa masubwi nchini linatarajiwa kupigwa February 27 mwaka huu jijini Dar es Salaam na maandalizi yake yote yamekamilika.

Yassin amesema pamoja na bondia Cheka kutandikwa hivi karibuni na bondia mwenzake Thomas Mashali lakini si sababu ya bondia huyo kupoteza ubingwa katika pamabano hilo.

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget