
Ligi Kuu sokaTanzania bara mzunguko wa 17 umeendelea
tena hii leo kwa michezo sita kuchezwa katika viwanja mbalimbali, huku kila
timu ikisaka pointi tatu muhimu kwenye msimamo wa ligi hiyo.
Simba SC 5 vs
1 Mgambo Shooting -uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Mtibwa Sugar 2 vs 2
Toto Africans - uwanja wa Manungu – Turiani.
Tanzania Prisons 2 vs 2Young
Africans - uwanja wa Sokoine.
Wana kimanumanu African Sports 1 vs 0 Mwadui FC - uwanja wa
Mkwakwani jijini Tanga.
Kagera Sugar 2 vs 1 Majimaji
FC - uwanja wa Kamabarage mjini Shinyanga.
Kesho
ligi hiyo itaendelea kwa kuchezwa michezo miwili.
Wagosi wa Kaya Coastal Union vs Ndanda FC - uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga.
JKT Ruvu watawakaribisha Mbeya City -uwanja wa Karume.
Post a Comment