
Kiungo wa wa klabu ya soka ya Buyern Munich David
Alaba, ameanza mazungumzo mapya ya kuongeza mkataba mwingine na klabu yake
licha ya kocha wake kutakiwa na klabu ya City kuhutaji huduma yake.
Mchezaji huyo raia wa nchini Austrian anaonekana kuwa
mchezaji muhimu zaidi chini ya kocha wake Guardiola's katika ligi ya Bundesliga.
Bayern wameanza mazungumzo na Alaba's ya mkataba mpya
na kumlipa mshahara wa €10million kwa mwaka na inaonekana anaweza akasaini
mkataba mpya na klabu hiyo.
"Ni kweli tumeshaanza mazungumzo ya kuongeza
mkataba mpya na Bayern lakini ngoja tuone itakavyokuwa," alisema Alaba.
Post a Comment