Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

TIMU YA TAIFA YA SOKA LA UFUKWENI KUINIA KAMBINI KESHO KUWASUBIRI IVORY COST.



 
Timu ya Taifa ya soka la ufukweni ( BEACH SOCCER) inatarajiwa kuingia kambini Jumatano hii kwaajili ya kujiandaa na mchezo wake dhidi ya timu ya Taifa ya Ivory Cost mchezo utakaopigwa katika dimba la maalumu lililotengenezwa maeneo ya karume jijini Dar es Salaam.




Kocha Mkuu wa timu hiyo John Mwansasu amesema kuwa mpaka kufikia hii leo vijana wake wanaendelea vyema na kamabi hiyo itaanza rasmi Jumatano hii baada ya kuwajumuisha wachezaji kutoka visiwani Zanzibar.

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Ijumaa hii huku wito ukitolewa kwa watanzania kuisapoti timu hiyo katika mchezo wao huo. 

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget