Chama cha waendesha Baiskeri Mkoa wa Lindi kinatarajia
kufanya maonyesho ya matembe kwa ajili ya kutembelea mikoa 14 kwa lengo la kuhamasisha
watanzania kulipa kodi kwa hiyari.
Saidi Kengere ambaye ni Mwenyekiti
wa chama cha cha mchezo wa waendesha baiskeri Tanzania amesema maandalizi yote
yamekamilika na kusema kuwa kila jambo limekaa sawa katika matembezi hayo.
Post a Comment