
Akisaini mkataba huo Rais wa
TFF JAMAL MALINZI amesema muda muafaka sasa wa soka la kitanzania kukua na kuwa
la kimataifa na kulifanya kuwa lenye kuvutia kutokana na kuonyeshwa katika
vyombo mbalimbali vya habari.
Naye Makamu Mwenyekiti wa
Sahara Media SAMWEL NYALA amesema wao kama
Media wameamua kuwekeza zaidi katika michezo ili kuhakikisha wanaleta
changamoto kwa timu zinazoshiriki ligi hiyo na kufanya wachezaji kujitambua na
kucheza kwa ushindani zaidi.
Post a Comment