Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

MESSI AFUTIWA MASHITAKA YAKE.


 
Hatimaye mchezaji wa Lionel Messi amefutiwa kesi ya mashitaka nchini Hispania ya kukwepa kodi iliyokuwa ikimkabili mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Argentina na klabu ya Barcelona.

lakini waendesha mashitaka wa mahakama nchini Hispania wanatarajia kuendelea na kesi dhidi ya baba yake ambaye na yeye anakabiliwa na kesi hiyo.

Kama akihukumiwa mzee huyo aitwaye Jorge Messi anaweza kukabiliwa na kifungo cha miezi 18 jela na faini ya euro milioni mbili.

Wote wawili Messi na baba yake walikuwa wakituhumiwa kwa kukwepa kodi na mamlaka nchini Hispania ya zaidi euro milioni nne.

Waendesha mashitaka hao wanamtuhumu mzee huyo kwa kukwepa kulipa kodi ya mapato ya mwanaye kwa kutumia kampuni za pembeni zilizopo huko Belize na Uruguay kati ya mwaka 2007 na 2009.


Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget