Baada ya kurejea nchini akitokea katika
kikao kilichofanyika nchini Msumbiji katika kikao cha CAF katibu mkuu wa
Shirikisho la soka nchini Tanzania TFF SELESTINE MWESIGWA ameelezea jinsi soka
la vijana linavyokua zaidi barani Afrika.
Akizungumzia kuhusu kikao hicho MWESIGWA
amesema kiwango cha ukuaji wa soka la vijana kwa upande wa Afrika linazidi
kukua na hasa katika nchi ya Tanzania.
MWESIGWA amesema kwa bara la Afrika soka linaendelea kukua na kulifanya liweze kuwa bora zaidi nje ya bara hili na kulitangaza zaidi hasa soka la vijana wadogo.Huku akiwataka vijana hao kuongeza juhudi zaidi ya kisoka na kuwafanya waweze kutimiza ndoto zao za soka.
Post a Comment