Shirikisho la mchezo wa bao
nchini SHIMBATA limefufua tena matumaini ya kufanya tamasha la mchezo huo lenye
lengo la kumuenzi Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Tamasha hilo
ambalo lilipaswa kufanyika kesho, hivi karibuni lilitangazwa kuota mbawa
kufuatia ukata unaolikabili Shirikisho hilo.
Rais wa SHIMBATA MONDAY LIKWEPA amesema tamasha hilo sasa litafanyika mwishoni mwa mwezi huu ili kuitendea haki kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere
Post a Comment