Siku chache baada ya bondia
COSMAS CHEKA kutwaa ubingwa wa Dunia huko nchini Thailand,
Tanzania
imepata ofa nyingine ya kucheza pambano nje ya Bara la Afrika.
Katibu wa PST ANTONY RUTTA amesema bondia atakayewakilisha
Tanzania
kwa awamu inayokuja ni FADHIL MAJIHA ambapo atapambana kusaka ubingwa wa WBO
uzito wa superfly.
Post a Comment