
Mchezo wa hatua ya pili
kuwania kufuzu kwa Fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika mwaka 2018 nchini
Urusi kati ya Tanzania
(Taifa Stars) dhidi ya Algeria
(The Fox Desert) utafanyika tarehe 14 Novemba, 2015 katika uwanja wa Taifa
jijini Dar es salaam.
Taifa Stars itacheza mchezo huo dhidi ya Mbweha wa
Jangwani siku ya Jumamosi Novemba 14, na mchezo wa marudiano kuchezwa siku tatu
baadae Algeria 17 Novemba, 2015.
Post a Comment