Siku chache
baada ya mshambuliaji wa klabu ya soka ya Simba, Pape N’daw, kukutwa na hirizi
na amesema uongozi wa klabu ya soka ya simba umesema bado haujapata taarifa
yoyote kutoka katika benchi lao la ufundi kuhusu shutuma anzaopewa mchezaji
huyo.
Jumatano
iliyopita kwenye Uwanja wa Sokoine Mbeya klabu ya soka ya akicheza dhidi ya
Prisons, N’daw, raia wa Senegal, alizongwa na wachezaji wa timu pinzani kisha
akakutwa na hirizi ambapo mwamuzi alimtoa nje kwenda kuitoa.
Mjumbe
wa kamati ya simba Said Tuli amesema wao kama viongozi bado hawajapata taarifa
yoyote kuhusu mchezaji huyo kukutwa na kipande hicho cha hirizi kiunono kutoka
kwa benchi la ufundi la klabu hiyo.
Tuli amesema
n ahata kama wakipata taarifa juu ya mchezo huo kutoka kwa benchi hilo la
ufundi lakini kama hawajapewa taarifa yoyote kuhusu mchezaji huyo hawatajadiri
swala lolote linalo muhusu mchezaji huyo.
Post a Comment