Kikosi cha Azam Fc kinatarajia kuingia kambini Novemba 23 mwaka huu kwaajili ya mzunguko mwingine wa ligi kuu soka Tanzania bara baada ya kutoka mapumzikaoni ambapo kipo hivi sasa.
Afisa habari wa klabu ya Azam Fc JAFARY IDD amesema kwa
sasa timu yake ipo kamabini lakini wataigia kambini wakiwa na nguvu mpya
kwaajili ya kuendelea kubaki kilele mwa ligi hiyo.
JAFARY amesema wanatarajia kuendeleza ushindani
waliokuwa nao katika ligi hiyo na wanatarajia kuongeza wachezaji katika kipindi
hiki cha kufunguliwa kwa dirisha dogo la usajili.
Ligi kuu soka Tanzania bara ilisimama kwa muda
kupisha maanadalizai ya timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars kujiandaa na
kusaka tiketi ya kufuzu fainali za kombe la dunia kwa mwaka 2018 nchini Uswizi.
Katika hatua nyingine JAFARY amewataka watanzania
kujitokeza kwa wingi kuishuhudia Taifa Stars katika mchezo wake wa kesho dhidi
ya timu ya Algeria katika dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Post a Comment