
Timu ya Taifa ya vijana umri chini ya miaka 15
inatarajia kuingia kambini mwishoni mwa mwezi huu kwaajili ya kujiandaa na
mashinda ya vijana mwaka 2016.
Akizungumza na kutoka viwanjani Afisa maandeleo wa soka la vijana kutoka TFF
JEMEDARY SAID amesema timu hiyo itaweka kambi katika Hostel za karume na
itakuwa ikicheza michezo ya kirafiki na timu za vijana wenye umri huo na
haitatoka tena nje ya jiji la Dar es Salaam.
Amesema wamefanya hivyo ili kuwaweka vijana hao
kwaajili ya safari yao inayoandaliwa na Shirikisho kwaajili kuelekea Afrika
Kusini.
Post a Comment