Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

MAN CUTY VS LEICESTER CITY HAKUNA MBABE.



 
Klabu ya Leicester City na Manchester City zimemaliza mechi zao za Ligi Kuu soka nchini Uingereza kwa kupata matokeo ya bila kufungani zilipokutana usiku wa kuamkia hii leo.


Leicester baada ya kucheza mchezo wake wa jana sasa imefikisha pointi 39 sawa na Arsenal, lakini inabaki katika nafasi ya pili kutokana na tofauti ya mabao ya kufunga na kufungwa.

 
Klabu ya Man City wao wanakuwa katika nafasi ya tatu palepale safari hii wakiwa na pointi 36 katika msimamo wa ligi hiyo.
 

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget