
Klabu ya soka yaTottenham Hotspurs nao imeingia
katika kinyang’anyiro cha kumuwania Alvaro Morata ili aweze kuja kuwa mbadala
wa Harry Kane baada ya mchezaji huyo kuanza kupunguza makali yake hivi sasa.
Harry Kane ambaye msimu uliopita alikuwa mwimba
mkalai kwa klabu kubwa za ulaya lakini sasa anaonekana kupunguza makali yake
hivyo kuonekana kuzidiwa katika nafasi ya ushamuliaji.
Pamoja na klabu ya Tottenham kuonyesha nia hiyo lakini
wanakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa Real Madrid, Arsenal na Manchester
United ambazo nazo zimeonyesha nia ya kumtaka mchezaji huyo.
Post a Comment