
Baada ya kuikacha klabu ya soka ya
Real Madrid na kupata kibarua kingine cha kuinoa klabu ya soka ya Bayern Munich
kocha Carlo Ancelotti ameanza seke seke la kutaka kumchukua mshambuliaji wa
Madrid Karim Benzema.
Ancelotti anamtaka Benzema kujiunga
na miamba hiyo ya soka ya nchini Ujerumani katika kipindi hiki cha usajili kama
mshambuliaji wao Robert Lewandowski ataondoka
Allianz Arena.
Kwa mujibu wa chanzo cha habari cha OK
Diario kinasema kocha huyo anataka kukibadirisha kikosi cha Munich na kuwa tishio
zaidi katika ligi ya Bundersliga.
Post a Comment