
Bondia Abdalah Pazi alfajiri ya leo hii ameondoka
nchini kuelekea katika pambano lake lisilo na ubingwa dhidi ya bondia kutoka
nchini Urusi pamabano ambalo linatarajiwa kupigwa January 31 mwaka huu pambano
lenye round 6.
Katibu mkuu wa chama cha ngumi za kulipwa nchini
Tanzanaia PST Antony Rutta amesema maaandalizi yote ya bondia huyo yalikuwa
yamekamilika na ameongozana na Emmanuel Mrundwa katika safari hiyo.
Post a Comment