
Imeripotiwa kuwa klabu ya soka ya Chelsea huenda ikawakosa wachezaji wake nyota wa nne muhimu sana katika kipindi hiki cha usajili wa wachezaji katika ligi kuu soka nchini Uingereza.
Klabu ya soka ya soka ya Chelsea huenda ikawawakosa wachezaji wake ambao ni Eden Hazard, Diego Costa, Oscar na Thibaut Courtois wanao waniwa na timu mblimbali ulaya katika kipindi hiki cha usajili.

Diego Costa huenda akaondoka darajani hapo huku kukiwa na taarifa kuwa klabu yake ya zamani ya Atletico Madrid inataka kumrudisha nyumbani mchezaji huyo.
Eden Hazard ikisemekana kutakiwa na miamaba ya soka ya nchini Hispani klabu ya Real Madrid huku pia klabu ya soka ya ya Baecelona katika kipindi hiki cha usajili.
Post a Comment