
Kocha msaidizi wa klabu ya soka ya Manchester United Ryan Giggs amemchagua Kasper Schmeichel kuwa chaguo sahihi la klabu hiyo baada ya mlinda mlango wao raia wa nchini Hispani David de Gea kuanza harakati za kutakiwa na klabu ya Real Madrid kwa mujibu wa gazeti la The Sun.
Klabu ya Real Madrid wamefungiwa kusajili mchezaji yoyote na Fifa katika kipindi hiki na kipindi cha January mwakani lakini gazeti hilo limeripoti kuwa klabu hiyo inataka kumchukua mchezaji huyo na itatoa kitita cha £30.5 million katika mkataba wa De Gea’s kwa mwezi huu.
De Gea’s alitakiwa kutoa Bernabeumwaka jana mwezi August katika kipindi cha usajili lakini kutokana na mawasiliano mabovu ya klabu zote mbili akashindw kuondoka katika klabu hiyo.

Mlinda mlango huyo mwenye miaka 25 alianza kucheza michezo michache katika kipindi hiki lakini alirudi katika kiwango chake na kuwa mchezaji bora zaidi katika klabu ya .
Lakini Giggs anaamini kwa kiwango ambacho Schmeichel, anakionyesha katika klabu yake ya Leicester City’s ni kizuri kinacholinganishwa na baba yake Peter ambaye alikuwa anakipiga dhidi ya Welshman katika klabu ya United's mwaka 1999 na kuitambulisha Manchester United.
Post a Comment