
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira
wa Miguu nchini (TFF) na Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu mkoa wa Simiyu,
Epaphra Swai amefariki dunia leo asubuhi katika hospitali ya Muhimbili jijini
Dar es salaam.
TFF kwa sasa inaandaa mipango ya msiba na mazishi ya
marehemu Epaphra Swai baada ya kukaa na familia ya marehemu na kupanga utaraibu
huo.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
Post a Comment