Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

KATIBU MKUU WA WIZARA YA MICHEZO AKUTANA NA KAMATI TENDATIJI YA BARAZA LA MICHEZO TAIFA BMT.



Wizara ya Habari,Wasanii,Utamaduni na Michezo nchini imeanza kupokea 
maoni na mawazo mbalimbali ya wadau nchini ikiwa na lengo la kuboresha zaidi sekta ya michezo nchini na kuifanya ifanye vizuri zaidi kwa washiriki wa sekta hiyo.

Akizungumza na kamati tendaji ya Baraza la michezoTaifa BMT katibu wa Wizara hiyo ELISANTE OLE GABRIEL amesema lengo la kukutana na kamati hiyo ni kujua changamoto amabazo zinaikabili kamati hiyo hasa kwa upande wa vyama vya michezo nchini.



Naye Mwenyekiti wa kamati hiyo Dionez Malinzi amesema kwa upande wa BMT kuna mambo mengi sana yanayo kwamisha sekta ya michezo nchini na vyama vyake hasa kwa upande wa msajili wa vyama vya michezo  nchini kusajili vyama vingi kiholela na kulitaka suala hilo lifatiliwe kwa makini.
 

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget