Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

UCHAGUZI WA CHAMA CHA MCHEZO WA VISHALE KUFANYIKA FEBRUARY 26 DODOMA.



 
Chama cha mchezo wa vishale unatarajiwa kufanya uchaguzi wake wa viongozi wake waliomaliza muda wa kuongoza chama hicho February 26 mwaka huu Mjini Dododoma.


Afisa habari wa Baraza la Michezo Taifa BMT Najaha Bakari amesema maandalizi yote kuelekea katika uchaguzi huo yamekamilika na amewataka wadau wenye sifa kuchukua fomu za kuwania nafasi mbalimbali katika uchaguzi huo na fomu zote zinazotolewa na BMT.

Kwa upande mwingine Najaha amevitaka vyama mbalimbali vilivyo chini ya BMT kurejesha karenda ya mwaka ya vyama hivyo katika baraza hilo ili kujua mipango ya vyama hivyo na malengo yao ya mwaka huu kama ilivyo kwa miaka mingine wanavyofanya.

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget