Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

KESHO LIGI PENDWA NCHINI TANZANIA KUENDELEA TENA KATIKA VIWANJA 8.




Kesho hapatoshi katika ligi kuu soka Tanzania bara Michezo mingine 8 kugwa siku ya kesho ikiwa ni mzunguko wa nne wa ligi hiyo ni pamoja na:


Toto Africans watawakaribisha Tanzania Prisosns uwanja wa CCM Kirumba,
Huku Stand United wakicheza dhidi ya Kagera Sugar katika uwanja wa Kamabarage mjini Shinyanga.

Uwanja wa Tafa jijini Dar es salaam, Simba SC watawakaribisha wakata miwa wa Mtibwa Sugar saa 10 jioni.

Mbeya City watakua wenyeji wa Mwadui FC uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Coastal Union dhidi ya Majimaji uwanja wa Mkwakwani.

Huku mchezo kati ya Azam FC dhidi ya African Sports ukianza saa 1 usiku.

Jumapili ligi hiyo itaendelea kwa mchezo mmoja uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, ambapo Young African watawakaribisha Ndanda FC kutoka Mtwara.

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget