Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

SHIME KUMVIMBIA KIBADENI KESHO?.




Ligi kuu soka Tanzania bara inatarajiwa kuendelea tena siku ya kesho katika viwanja kadha wa kadha nchini huku klabu ya soka ya Mgambo JKT ikijitamba kwapigisha kwata maafande wenzao klabu ya JKT Ruvu.


Kocha mkuu wa klanu ya soka ya Mgambo Bakari Shime amesema ligi kwa sasa imebadirika kutokana na kila timu kujipanga kufanya vizuri katika ligi hiyo hali ambayo inaongeza ushindani ndani ya ligi hiyo.

Shime amesema pamoja na kuanza vibaya katika ligi hiyo msimu huu lakina anaimani na kikosi chake kutokana na jinsi ambavyo anavyokiongoza na jinsi wanavyofata maelekezo yake huku akiitaka klabu ya JKT Ruvu kukaa sawa katika mchezo wao wa kesho.


Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget