Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

KILA LA KHERI MBWANA SAMATTA.



 
HATIMAYE mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, Mbwana Ally Samatta yupo njiani hivi sasa kuelekea nchini Ubelgiji kujiunga na klabu yake mpya ya KRC Genk.


Samatta ambaye ni mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wa wanaokikipa nyumbani katika barani Afrika anatarajiwa anaonesha ishara nzuri kutokana na umahiri wake wa kutandaza kabumbu.

Uhamisho wa Samatta siku chache zilizopita ulizua utata baina yake na mmiliki wa klabu ya TP Mazembe, Moise Katumbi kabla ya mmiliki huyo kuamua kuregeza kamba na kumuachia mchezaji huyo.

Lakini Samatta aliichezea Simba kabla ya kujiunga na TP Mazembe mnamo mwaka wa 2011na kisha kutimkia TP Mazembe ya Congo na sasa huyo nchini Ubelgiji katika klabu yake mpya ya Genk.

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget