
Baada ya kutandikwa mabao matano kwa
bila siku ya jana uongozi wa klabu ya soka ya Majimaji Fc umejitetea kuwa
timu yao bado haija kaa vizuri baada ya kubadirika kwa kocha wao sasa.
Makamu Mwenyekiti wa klabu ya soka
ya Maji maji FC John Nchimbi amesema klabu yake kupoteza mchezo wa jana ilitokana na
kutokuwa na maelewano baaina yao wenyewe lakini kwa sasa wanajipanga vyema
kwaajili ya mchezo wao unaofata.
Maji maji ilipoteza mchezo huo ukiwa
ni 4 mfurulizo na sasa wanonekana kushindwa kuendana na kasi ya ligi kuu
baada ya kuonyesha kiwango safi ligi hiyo ilipoaanza.
Post a Comment