Shirikisho la mchezo wa bao nchini
Tanzania SHIMBATA linajianda kuelekea nchini China kwaajili ya kuutangaza
mchezo huo katika nchi hiyo huku pia likiwa na lengo la kudumisha urafiki wa
nchi ya Tanzania na Chini.
Rais wa SHIMBATA Monday Likwepa amesema
maandalizi ya safari yao hiyo yanaendelea vizuri na wanatarajia kuelekea nchini
Chini mapema mwaka huu.
Post a Comment