Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

INAWEZEKANA NAFASI YA SAMTTA IKAZIBWA NA MTANZANIA MWENZAKE CHANONGO.



              Chanongo kushoto na ubwa kulia,picha kwa msaaada wa mtandao wa klabu ya TP Mazembe.

Wachezaji Abuu Ubwa na Haruna Chanongo anayekipiga katika klabu ya Stand United leo watafanya mazoezi ya majaribio yao katika kikosi cha TP Mazembe cha DR.


Katika Mazoezi ya leo wachezaji Ubwa ,23, na Chanongo ,24, ambao wamepata nafasi hiyo ya majaribio wanaweza kuchukuliwa kama watafuzu majaribio hayo.

Chanongo aliwahi kucheza Simba na Ubwa aliwahi kukipiga Ureno na Yanga na sasa bahati iko mkononi mwao.

Kwa upande wa Afisa habari wa Stand United Deo Makomba amesema Uongozi mzima wa Stand United unamtakia majaribio mema mchezaji wao huyo na endapo atafuzu majaribio hayo wataketi kuzungumza na klabu hiyo juu ya hatma ya mchezaji wao Chanongo.

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget