Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

VIDIC AAMUA KUTUNDIKA DARUGA.



http://cdn.images.express.co.uk/img/dynamic/67/590x/vidic_getty_title-458463.jpg 
Nahodha wa zamani wa klabu ya mashetani wekundu wa Manchester United Nemanja Vidic ametangaza rasmi kutundika daruga zake baada ya kutoka katika klabu ya soka ya Inter.


vidic mwenye miaka 34 hivi sasa alikuwa beki nguli katika klabu yake ya zamani ya Man u pindi alipokuwa akikutana na timu pinzani.

katika taarifa yake katika mtandao wa United Vidic amesema muda wake umefika wa kuachana na masuala ya soka na maumivu yote aliyopata sasa inatosha katika soka.

vidic amesema anawashukuru wachezaji wenzake aliokuwa anacheza nao,makocha wote walokuwa juu yake ambao alikuwa na anafanya nao kazi ,wafanyakazi waliokuwa wanashirikiana nae na shukurani kubwa ziene kwa mashabiki wote wa soka duniani kote ambao walikuwa wanampa sapoti katika mchezo wa soka kwa miaka yote.

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget