Baada ya kutimuliwa kocha wa klabu ya Real Madrid Rafa
Benitez hii ndio recodi zake alipokuwa klabuni hao.
Rafa Benitezi aliiongoza Real Madrid katika michezo kadhaa ya La Liga na inashika nafasi ya 3 kwa sasa katika msimamo wa ligi ya La Liga nchini Hispania.
Benitez aliiogoza Real Madrid katika michezo mingi na ina
Alama 4 walizo nyuma ya viongozi klabu ya Atletico Madrid.
Benitez ana miezi 7 aliyohudumu
mkataba wake ambao unamuda wa miaka 3.
Akiiongoza Madrid alimchezesha Mchezaji
asiyefaa (Denis Cheryshev) aliyechezeshwa katika michuanoya Copa del Rey - na kufanya Real Madrid
kuondolewa michuano hiyo walipokutana na Cadiz.
Post a Comment