
BABA mzazi wa mchezaji wa klabu ya soka ya Paris
Saint-German Luic Cavana amesema angependa kumuona mwanae Edson Cavan anakipiga
katika klabu za Real Madrid,Juventus au Manchester United kuliko alipo hivi
sasa.
Luic Cavani anaamini mwanae anauwezo mkubwa wa
kucheza zaidi ya mshambuliaji mwezake raia wa Sweden Zlatan Ibrahimovic kama
wakimpa nafasi zaidi kama mshambuliaji wa katikat.
Edinson Cavani anatakiwa kuondoka katika klabu ya Paris
Saint-Germain na kujiunga na klabu za Real Madrid, Manchester United au Juventus kwa
mujibu wa Luic Cavani.
Luis Cavani amesema mwanae huyo mwenye miaka 29
anapoteza muda tu katika kokisi hicho kinchonolewa na kocha wao Laurent Blanc’s
na huwa ni mzuri zaidi akichezesha kati kati.
Post a Comment