
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya soka ya Juventus' Alvaro
Morata amemmwagia sifa nyota wa klabu ya Bayern Munich Robert Lewandowski kuwa
ni mchezaji mzuri zaid duniani.
Lewandoski ambaye ni raia wa nchini Poland ameifunga
klabu yake mabao 21 katika michezo 20 ya ligi ya Bundesliga nchini Ujerumani na
alikuwa anahusishwa kutimkia katika klabu za Real Madrid Paris Saint-Germain.
Morata na Lewandowski watakutana wiki ijayo katika
mchezo wa ligi ya mabingwa barani ulaya huku klabu ya Juventus ikiwa mwenyeji wa mchezo huo katika
uwanja wake wa nyumbani katika hauta ya makundi.
Morata amezidi kumwagia sifa Lewandowski kuwa ni
mchezaji bora zaid duniani lakini
amesema watajitahidi kufanya maajabu zaidi waka timu hizo mbili zitakapokutana
wiki ijayo.
Post a Comment