Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

TIMU ZA TAIFA ZA VIJANA UMRI CHINI YA MIAKA 14 NA 17 SASA MAMBO SAFIII KUINGIA KAMABINI MWEZI HUU.



 
Timu za soka za Taifa ya vijana umri chini ya miaka 14 na 17 inatarajia kuingia kambini mapema mwezi huu kwa ajili ya kujiandaa na mashindano mbalimbali ya vijana.


Akizungumza na KILOWOKO.BLOGSPOT.COM Mkurugenzi wa ufundi kutoka Shrikisho la soka nchini Tanzania Salum Madadi ameseme vijana hao wanatarajiwa kuingia kambini muda wowote kuanzia hivi sasa na tayari wameshaandaa bajeti kwa ajili ya timu hiyo.

Ikumbukwe kuwa timu hiyo ilishindwa kuendelea na kambi yake ya kila mwezi na kushindwa kuendelea na ziara yake ya nje ya nchi baada ya TFF kudaiwa kuwa haijalipa kodi kwa muda mrefu na kwa mamlaka ya mapato nchini TRA.

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget