
Ratiba ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya,
imepangwa leo.
Mechi ambayo inaonekana kuwa gumzo ni ile kati ya
Barcelona dhidi ya Atletico Madrid zote za kutoka nchini Hispania.
Lakini inaonekana kama Real Madrid kama imepata
mchekea kwa kupangwa na Wolfsburg ya Ujerumani huku PSG ikirudi kucheza tena
England dhidi ya Manchester City.
RATIBA:
PSG vs Manchester City
Barcelona vs Atletico Madrid
Bayern Munich vs Benfica
Wolfsburg vs Real Madrid
Post a Comment