Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

AZAM FC WAGOMA KUSOGEZEWA MBELE MECHI ZAO.



http://www.azamfc.co.tz/sites/default/files/styles/large/public/azam%20web_0.JPG?itok=FjIb51wF 
Klabu ya soka ya Azam Fc imethibitisha kutowekeza mechi za viporo tena kwa msimuhuu hata kama Shirikisho la soka nchini kuwa tayari kuwasogezea mbele mechi zao.

Hayo yamesemwa na Msemaji wa klabu hiyo Jafari Iddi na kuelezea mipango yao kwa msimu huu ukizingatia na ugumu wa ligi inavyoelekea kwa sasa katika mechi hizi za mwanzoni.

Azam imekuwa na wakati mgumu hivi sasa baada ya kikosi chao kuoneka kama hakina ushindani ndani ya ligi ya mwaka huu huku ikitumia zaidi vijana chipukizi katika kikosi chake.

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget