Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

KLABU YA SIMBA YAUNGA MKONO KAULI YA RAIS MAGUFULI.



Image result for JEZI MPYA ZA SIMBA NA MAVUGO 
Klabu ya soka ya Simba inatarajiwa kuelekea Mjini Dodoma wikiendi hii kwa ajili ya kucheza mchezo wake wa kirafiki dhidi ya timu ya Polisi Dodoma inayoshiriki Ligi daraja la Kwanza.

Mbali na kucheza mchezo huo wa kirafiki lakini pia klabu ya Simba itatumuia mchezo huo kwa lengo la kusapoti kauli ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Magufuli ya kuanza harakati za kuhamia mjini humo. 

Akizungumza na waandishi wa habari Msemaji wa klabu ya soka ya Simba HAJJI MANARA amesema watatumia mchezo huo kwa ajili ya kucheza na klabu hiyo na kuwafundisha soka safi lakini pia kuunga mkono kauli ya Rais Magufuli ya kuhamia Dodoma.

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget