Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

BALOTEL KUTOLEWA KWA MKOPO KWENDA NICE.



Image result for BALOTELLI 
Klabu ya soka ya Liverpool imethibitisha kuwa na matumaini ya kumtoa kwa mkopo mchezaji wao Mario Balotelli kuelekea katika klabu ya Nice inayoshiriki ligi kuu nchini Ufaransa.

Mchezaji huya wa klabu ya zamani ya Manchester City alikosa mazoezi jumanne iliyopita na ni wazi kuwa sasa ataweza kwenda katika klabu hiyo inayokipiga katika Ligue 1.

Lakini Liverpool bado haijakubaliana kumtoa mchezaji huyo kwenda Nice lakini mzungumzo bado yanaendela kuhakikisha wanafikia makubaliano.

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget